MKURUGENZI WA IEBC

MKURUGENZI WA IEBC смотреть последние обновления за сегодня на .

IEBC yamwachisha kazi Oswago

204
1
0
00:01:28
01.11.2013

Tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC imewasimamisha kazi mara moja afisa mkuu mtendaji wake James Oswago, naibu katibu wa IEBC, Wilson Shollei, mkurugenzi wa fedha Edward Karisa na meneja wa utaratibu wa kuagiza bidhaa Willy Kamanga. Wanne hawa wanasimamishwa kazi, siku mbili tu baada ya mahakama kuwaachilia huru kwa dhamana ya shilingi laki tano pesa taslimu kila mmoja, baada ya kushtakiwa kufuatia sakata ya shilingi bilioni 1.3 za kununua mitambo iliotumika katika uchaguzi wa machi nne. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Naibu afisa mkuu wa IEBC Ruth Kulundu asimamishwa kazi

34109
234
108
00:03:16
21.09.2022

Naibu afisa mkuu wa tume ya uchaguzi nchini (IEBC) Ruth Kulundu ameachishwa kazi kwa muda, kwa kile mwajiri wake ametaja kama utovu wa nidhamu kazini pamoja na mwenendo usiofaa. Katika barua aliyoandikiwa na afisa mkuu wa tume hiyo Marjan Hussein Marjan, Kulundu anadaiwa kukiuka taratibu za uajiri ikiwemo kumvamia, kumtusi na kumtishia kaimu mkurugenzi wa shughuli za uchaguzi moses sunkuli kama anavyofafanua mhariri wa taarifa za kisiasa Francis Gachuri.

Wafuasi wa NASA wafanya maandamano kumlazimisha mkurugenzi mkuu wa IEBC Chiloba ajiuzulu:Mbiu ya KTN

11819
33
14
00:28:28
09.10.2017

Wafuasi wa NASA wafanya maandamano kumlazimisha mkurugenzi mkuu wa IEBC Chiloba ajiuzulu:Mbiu ya KTN SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Kitengo cha idara ya upelelezi ATPU chapendekeza vifaa vya IEBC vikaguliwe

25589
185
103
00:03:15
27.08.2022

Kitengo cha kupambana na ugaidi katika idara ya upelelezi (ATPU) sasa kinapendekeza uchunguzi wa kina kufanya katika mfumo wa elektroniki iliotumika katika uchaguzi uliokamilika ikidai kuwa kuna uwezekano wa kudukuliwa kwa mfumo huo. Kwenye barua iliyoandikwa mnamo agosti 5 mkurugenzi wa kitengo hicho Joseph Kolum alitoa mapendekezo hayo baada ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya raia watatu wa venezuela. Watu hao walikamatwa na vifaa vya elektroniki katika uwanja wa ndege wa kimataifa JKIA mwezi Julai mwaka huu

Tume ya IEBC iko kwenye njia panda na ushahidi wake

34688
322
60
00:02:31
28.08.2022

Huku mahakama ya upeo ikitarajiwa kuanza kusikiza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais,....imedhihirika kuwa tume ya IEBC iko kwenye njia panda. Viapo miliki viwili rasmi vimewasilisha katika mahakama ya upeo,...hati kiapo moja ikiungwa mkono na mwenyekiti wa tume wafula chebukati, makamishna boya molu na abdi yakub guliye na afisa mkuu mtendaji marjan hussein marjan na nyingine ikichapishwa na kuwasilishwa na makamishna wanne wenye maoni kinzani. mrengo wa pili unaongozwa na naibu mwenyekiti wa iebc juliana cherera na unawahusisha makamishna francis wanderi, irene masit na justus nyang'aya.

Tuju apuuzilia mbali madai ya mwenyekiti wa IEBC Chebukati

117
0
00:04:08
28.08.2022

Mkurugenzi mkuu wa muungano wa Azimio la Umoja Raphael Tuju amepuzilia mbali madai ya mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka Wafula Chebukati kwamba alikutana naye kwa lengo la kumshawishi abadili matokeo ya uchaguzi wa Urais ili kumpendelea Raila Odinga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #chebukati #KenyaElection2022 #RaphaelTuju

Mkurugenzi wa Azimio atoa taarifa kuzungumzia aliyolaumiwa

14617
80
19
00:04:30
28.08.2022

Mkurugenzi mkuu wa chama Cha Azimio La Umoja One Kenya Raphael Tuju amejibu madai ya mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati kuhusiana na uchaguzi mkuu akisema hayakuwa ya kweli. Tuju kwenye kikao na wana habari amejibu tetesi kwenye kiapo miliki cha Chebukati na makamishena Abdi Guliye na Boya Molu huku akikiri kufanya mkutano nao kwa kile anasema ni wao walioitisha.

Shirika la 'Centre for Diaspora' lakashifu IEBC kwa madai ya udaganyifu

56903
522
282
00:01:31
19.08.2022

Waangalizi wa uchaguzi uliofanyika wiki jana hapa nchini wametoa sauti yao kuhusu matokeo yaliyotangazwa jumatatu iliyopita. Mkurugenzi mkuu wa mashirika ya ugenini waliokagua shughuli za uchaguzi mkuu wa wiki jana wamesema shughuli hiyo haikuwa ya huru na haki na kuwa hatua ya mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ilishusha imani ya wakenya katika zoezi hilo.

Kinara wa Azimio amlaumu mwenyekiti wa IEBC kwa kufeli

12078
125
29
00:03:37
28.08.2022

Kinara wa Azimio Raila Odinga amemshtumu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati kwa kile anasema ni kuvuruga na kufeli kwenye majukumu yake ya kusimamia uchaguzi. Raila aliyehudhuria ibada katika eneo bunge la Kibra ametaja tofauti kati ya makamishna wa tume hiyo kuwa ishara tosha kuwa matokeo ya uchaguzi wa agosti tarehe tisa yalivurugwa.

Rais Mteule amsifu mwenyekiti wa IEBC kwa uchaguzi mkuu

10270
106
30
00:03:19
28.08.2022

Rais mteule William Ruto anasisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi Agosti ulikuwa huru na haki huku akimmiminia sifa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC wafula Chebukati akimtaja kuwa shujaa. Ruto aliyezungumza katika kaunti ya Bungoma amesema kuwa Chebukati ni shujaa kwa kile anachodai ni kusimama imara na kutekeleza wajibu wake wa kikatiba bila mapendeleo.

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati atoa maoni kuhusu BBI

4167
27
2
00:03:17
17.03.2021

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka Wafula Chebukati amesema kuwa mapendekezo ya mswada wa bbi kuratibu mipaka ni kinyume cha sheria kwani kazi hiyo inaweza kutekelezwa na IEBC pekee. Akitoa maoni yake kuhusu BBI mbele ya kamati ya pamoja ya sheria bungeni na seneti, Chebukati amezema kuwa miezi 6 haitatosha kuratibu mipaka inayotizamiwa chini ya ripoti ya BBI. Hata hivyo mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya takwimu nchini Mcdonald Ogudho amesema kuwa juhudi zake kutafuta maoni ya IEBC zimegonga mwamba tangu mwaka 2019.

Chebukati: Mkurugenzi wa ICT, James Muhati atimuliwe

16280
52
28
00:03:21
19.09.2017

Uamuzi kamili wa mahakama ya upeo ukisubiriwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati sasa anapendekeza kusimamishwa kazi kwa maafisa watatu wanaohusika na habari na teknolojia. Chebukati anasema kuwa uchunguzi wa ndani kwa ndani wa IEBC unaonyesha kuwa mkurugenzi wa habari na teknolojia James Muhati, mshirikishi Paul Mugo na Boniface Wamae walikiuka sheria katika utekelezaji wa majukumu yao na kusababisha makosa yaliochangia kubatilishwa kwa matokeo ya uchaguzi. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Raila asema hakuna uchaguzi bila mabadiliko katika IEBC

5793
24
68
00:02:41
21.09.2017

Muungano wa Nasa sasa unataka mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kuhakikisha kuwa maafisa wa IEBC waliohujumu uchaguzi wamechukuliwa hatua za kisheria. Raila Odinga aidha amesema kuwa Nasa haitakubali uchaguzi wa marudio iwapo IEBC haitakuwa imekamilisha mikakati ya uchaguzi huru na wa haki. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

IEBC yawatema wagombea kumi wa urais

631
1
3
00:03:02
27.05.2017

Tume ya uchaguzi nchini-IEBC imewatema watu kumi waliokuwa wamejitosa ulingoni kuwania urais, baada ya kukosa kuafiki matakwa kisheria. Ni wawaniaji wanane tu walioruhusiwa kuwasilisha stakabadhi zao kuanzi kesho. Nazlin umar na Solomon Gichira ni baadhi ya waliotemwa, huku Rais Uhuru Kenyatta, kinara wa Nasa Raila Odinga, wakiidhinishwa. Huku hayo yakijiri mkurugenzi wa teknlojia ya mawasiliano katika tume ya IEBC James Muhati ameagizwa kuchukua likizo ya lazima. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

IEBC yasisitiza haina udhaifu wa kusimamia majukumu yao

406
3
0
00:02:45
15.10.2018

Tume huru ya uchaguzi na mipaka imeusuta muungano wa nasa kwa kusisitiza walishinda uchaguzi wa Agosti nane mwaka jana wakidai kuwa viongozi wake wanaficha ukweli. Hayo yanajiri huku shinikizo likitolewa kwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma kumchukulia hatua aliyekuwa afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba kutokana na matokeo ya ukaguzi wa mahesabu uliomuhusisha na kupotea kwa fedha za IEBC.

CORD na Jubilee wakubalina mfumo wa kufuata

2401
2
0
00:02:30
14.06.2016

Juhudi za viongozi wa kidini na mabalozi wa kigeni hatimaye zimeonekana kuzaa matunda, baada ya mirengo ya Jubilee na Cord kuafikiana kuhusu masuala tata katika utatuzi wa mzozo wa IEBC…vinara wa pande mbili husika wamekubali kulegeza misimamo mikali ya hapo awali, na kutoa nafasi ya suluhu muafaka kwa suala la kuondolewa kwa makamishna wa IEBC na kuteuliwa kwa kikosi kipya kitakachosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka ujao…. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Kamati yaendeleza vikao vyao na kusudi la kupata suluhu ya iebc

360
1
0
00:03:30
27.07.2016

Kamati ya pamoja inayolenga kuleta mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC leo imeendelea na vikao vyake. Wawakilisjhi wa afisi ya mkaguzi mkuu pamoja wakenya walifika mbele ya kamati hiyo kuwasilisha mapendekezo yao ya kuimarisha tume huru ya uchaguzi IEBC. Afisi ya mkaguzi mkuu ilikumbwa na kibarua kigumu kujieleza baada ya mkurugenzi wake Dennis Theuri kuomba radhi kwa afisi hiyo kuondolewa kuangazia hoja mbili kuu kuhusu uadilifu na imani kuhusu IEBC na suala la makamishna kuondoka afisini kufuatia tuhuma dhidi yake. Jeff Kirui anaarifu kwa kina. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

DCI yatoa taarifa kuhusiana na kutiwa nguvuni kwa raia watatu wa Venezuela

139
2
00:02:16
24.07.2022

Idara ya upelelezi wa jinai –(DCI), imetoa taarifa ya kina, kuelezea hali iliyosababisha kutiwa nguvuni kwa raia watatu wa Venezuela na pia kunaswa kwa vifaa vya uchaguzi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) siku chache zilizopita. mkurugenzi wa (DCI), George Kinoti ametofautiana na taarifa iliyotolewa na IEBC kwamvba watatyui hao walikuwa wafanyikazi tume hiyo au kampuni iliyojukumiwa kwuasilisha vifaa vya ucvhaguzi humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #iebc #venezuela #DCI

Mashirika ya kiraia ya taka DPP achukue hatua dhidi ya IEBC

4122
22
26
00:03:13
13.09.2017

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma sasa anasema atawachukulia hatua maafisa wa IEBC walioendesha uchaguzi kinyume na sheria baada ya mahakama ya juu kutoa uamuzi wake wa kina. Mashirika ya kiraia yalikuwa yamewasilisha maombi yao kwa ofisi ya DPP wakitaka achunguze jinsi IEBC ilivyoendesha uchaguzi kinyume na sheria na kushtaki waliohusika. na kama anavyoeleza Enock sikolia , mashirika hayo pia yanataka afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba aondolewe.

Aliyekuwa afisa wa IEBC Marehemu Chris Msando aombolezwa

5268
9
8
00:04:02
17.08.2017

Misa ya wafu ya aliyekuwa mkurugenzi wa IEBC kitengo cha teknolojia Chris Chege Msando imefanyika hii leo katika kanisa la katoliki la Consolata Shrine jijini Nairobi. Misa hiyo iliyohudhuriwa na familia, jamaa na marafiki wa mwendazake, ilighubikwa na majonzi huku sifa za Msando zikienea kutoka kwa wote waliozungumza.

Mkurugenzi wa CID aonya wanasiasa

3814
3
0
00:02:31
14.06.2016

Yeyote atakayetoa matamshi ya chuki hatasazwa na sheria. Si maneno yetu hayo bali ni kauli ya idara ya upelelezi ya jinai. Akitoa onyo hilo, mkurugenzi mkuu wa idara hiyo Ndegwa Muhoro alisema kwamba maafisa wa polisi katika kila kaunti wameagizwa kuwa macho kwenye mikutano ya hadhara wakati wanasiasa wanapohutubia hadhira. Wakati huo huo mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano ameilaumu idara ya mahakama kwa kuchelea kuwahukumu wahusika wa uchochezi. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Uchunguzi waonyesha afisa wa IEBC aliuawa kwa kunyongwa

1687
5
2
00:02:10
02.08.2017

Mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa IEBC kitengo cha teknolojia ya mawasiliano Chris Musando umefanyiwa upasuaji katika chumba cha kuifadhi maiti cha Lee na kubaini kwamba Msando aliuawa kwa kunyongwa kupitia mikono ya binadamu. Shughuli hiyo iliongozwa na Mpasuaji Mkuu wa Maiti wa Serikali Johansen Odour aliyeandamana na mpasuaji wa maiti aliyewakilisha familia Bessie Byakika.

Hatma ya Kethi Kilonzo ni ipi baada ya IEBC kusema hajasajiliwa

828
0
2
00:03:43
06.07.2013

Kesi inayozingira kinyanganyiro cha useneta kaunti ya makueni imeingia siku yake ya pili hii leo ambapo mapema leo mkurugenzi wa usajili wa wapiga kura wa IEBC Immaculate Kasait alieleza jopo linalosikiza kesi hii kwamba uchunguzi wao umebainisha kuwa wakili Kethi Kilonzo hajasajiliwa kuwa mpiga kura na kwamba kijikaratasi alichomkabidhi afisa wa IEBC eneo la Makueni kilikuwa kimeibiwa.isitoshe jina la Kethi Kilonzo halikupatikana kutoka kwa sajili za eneobunge la langata.Profesa Philip Kaloki naye alihojiwa alasiri ya leo huku uamuzi wa jopo linalosikiza kesi hii ukitarajiwa kutolewa siku ya jumatatu.. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Wakaazi wa Mugirango Kusini watililia dosari uteuzi wa maafisa wa uchaguzi katika eneo hilo

4788
46
1
00:01:27
07.07.2022

Mamia ya wakazi wa eneo la Mugirango Kusini leo wameandamana kwa zaidi ya kilomita 10 hadi ofisi za IEBC eneo hilo kulalamikia madai ya upendeleo kwa wale waliochukuliwa kama maafisa wa tume Aidha wakaazi hao wanataka swala hilo kushughulikiwa na wakuu wa IEBC Nyamarambe kudhihirisha uwazi katika shughuli hiyo nzima la sivyo wanatishia kuelekea mahakamani. Msimamizi wa IEBC Nyamarambe Nixon Nyamweya madai hayo si ya kweli na pia watafanya uchunguzi wao iwapo swala la ufisadi liliingizwa katika mchakato huo.

Viongozi wa Machakos waitaka IEBC kuwajibika

2230
9
1
00:01:03
08.07.2022

Wanamtaka Wafula Chebukati kutokubali kushurutishwa

Viongozi wa dini watoa wito kwa tume ya IEBC wakiwasihi kukutana nao

2279
11
3
00:01:51
19.09.2017

Viongozi wa dini watoa wito kwa tume ya IEBC wakiwasihi kukutana nao SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji kuzindua kongamano la uchaguzi wa amani

1617
13
0
00:06:11
28.07.2022

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji anatazamiwa kuzindua kongamano la kujadili mikakati ya kukabiliana na semi za chuki wakati wa uchaguzi. maafisa zaidi ya 120 wanashiriki kongamano hilo.Francis Mtalaki anahudhuria kikao cha leo , tuungane naye mubashara kutoka Mombasa

IEBC inatathmini iwapo Rais Kenyatta ameafikia matakwa ya kutangazwa mshindi

29645
85
63
00:02:34
09.08.2017

Tume ya uchaguzi nchini-IEBC imeanza kupekua matokeo ya mchuano wa urais yaliyowasilishwa kutoka vituo vya NASA kupigia, ili kubaini iwapo kuna mgombea aliyeafiki matakwa ya katiba. Makamishna wa IEBC wanadurusu fomu zote kutoka vituo vya kupigia kura 40,883 na kuyatangaza matokeo rasmi. Na kama anavyotuarifu Francis Gachuri, rais Uhuru Kenyatta yuko kifua mbele, na hamna uwezekano wa kinara wa Raila Odinga kumfikia. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Mkurugenzi wa idara ya jinai George Kinoti asifiwa kwa kuwajibika

3118
27
6
00:02:33
08.07.2022

Mkurugenzi wa idara ya jinai George Kinoti asifiwa kwa kuwajibika Miradi mingi ya maendeleo Meru imeasisiwa na ofisi ya Kinoti Ukumbi wa Kironya katika shule ya msingi ya Kironya Meru wazinduliwa

Maamuzi ya kamati ya IEBC kutolewa saa tano Jumatatu ijayo

2042
17
0
00:01:08
18.06.2022

Maamuzi ya kamati ya IEBC kutolewa saa tano Jumatatu ijayo Uamuzi kuhusu shahada ya Wavinya Ndeti kutolewa kesho saa saba Kamati ya IEBC inajizatiti kukamilisha kesi zote kwa muda uliowekwa

Tume ya uchaguzi nchini IEBC yatoa muongozo wa mchujo wa vyama

691
0
0
00:00:55
06.04.2022

Vyama vinahitajika kuwasilisha majina ya wagombea muda ufaao Aidha muongozo watolewa kwa wanaowania kama wagombea huru Wanaowania kuwa huru wanatakiwa kuwa walijiondoa kwenye chama

Tuju akiri kukutana na mwenyekiti wa IEBC Chebukati

120
0
0
00:02:28
29.08.2022

Mkurugenzi mtendaji Azimio la Umoja Raphael tuju amekiri kukutana na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC Wafula Chebukati, mida ya saa kumi asubuhi tarehe 15 agosti, ila sio saa tisa kama anavyodokeza Chebukati katika hatikiapo yake. Tuju anasema alilazimika kumtafuta Chebukati ili kupata maelezo ya kina kuhusu ripoti alizopata za kubadilishwa kwa fomu 34a.

Tume ya IEBC yajiondoa kutoka kamati ya maandalizi ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji Mkuu

14767
107
83
00:02:54
29.11.2021

Maandalizi ya uchaguzi mkuu yanakabiliwa na changamoto baada ya tume ya uchaguzi nchini kujiondoa kutoka kwenye kamati maalum iliyoundwa kushughulikia maandalizi hayo. IEBC inasema kuwa kamati hiyo ambayo inaongozwa na jaji mkuu martha koome inahujumu majukumu yake ya kikatiba kwani kamati hiyo, ambayo inajumuisha asasi mbalimbali za serikali inaieleza iebc jinsi ya kufanya kazi zake.

Watu watatu zaidi wahojiwa kujaza nafasi za makamishna wa IEBC

711
2
0
00:03:43
08.07.2021

Kaimu mkurugenzi wa utafiti katika tume ya uchaguzi IEBC Dkt. Catherine Kamindo leo amejipata taabani kueleza jukumu lake katika changamoto za teknolojia zilizokumba uchaguzi wa mwaka wa 2017. Kamindo amewaambia wanachama wa jopo linalowapiga msasa wanaotaka kuwa kamishna kuwa alijaribu kutafuta suluhu wakati huo. Kamindo ni kati ya wawaniaji watatu waliohojiwa hii leo.

Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma yatijosa kwenye uchunguzi

20272
147
13
00:02:08
18.06.2022

Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma yatijosa kwenye uchunguzi Noordin Haji amwandikia Mutyambai kuchunguza utata wa shahada Shahada za Johnson Sakaja na Wavinya Ndeti zinachunguzwa Sakaja anawania ugavana Nairobi, Wavinya anawania ugavana Machakos

Mahakama kuu yaamuru IEBC kutoa sajili ya wapiga kura wote kwenye uchaguzi wa Kibra

4332
18
30
00:02:56
06.11.2019

Mahakama kuu imeamuru tume huru ya uchaguzi IEBC itoe sajili ya wapiga kura wote kwenye uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Kibra. Chama cha ODM kilielekea mahakamani kuitaka iebc iorodheshe majina yote ya wapiga kura pamoja na nambari zao za simu na vitambulisho. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Mbunge wa Gatundu South Moses Kuria anahojiwa na IEBC

39866
203
77
00:01:02
30.03.2022

Kamati ya nidhamu ya tume ya IEBC inamhoji Moses Kuria Kuria anatuhumiwa kwa matamshi kuhusu wizi wa kura

Sema 2022 | Matayarisho ya uchaguzi

2518
13
11
00:39:51
14.07.2022

Ni siku 25 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kuandaliwa Maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9 yashika kasi Maafisa wa IEBC waliafiki kuwa wamejiandaa vilivyo kwa kura Wafula Chebukati na maafisa wake waelezea matayarisho yao

Mbunge wa Gatundu South Moses Kuria anahojiwa na IEBC

20667
93
17
00:02:11
30.03.2022

Kamati ya nidhamu ya tume ya IEBC inamhoji Moses Kuria Kuria anatuhumiwa kwa matamshi kuhusu wizi wa kura

Mwenyekiti wa tume ya IEBC-Wafula Chebukati asema kuwa wameamua kuikabidhi zabuni kampuni ya Safran

408
0
0
00:02:00
24.03.2017

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imetoa zabuni ya moja kwa moja kwa kampuni itakayopeana vifaa vya kuwatambua wapiga kura vitakavyotumika wakati wa uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza na wanahabari jioni hii, mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati amesema kuwa wameamua kuikabidhi zabuni hio moja kwa moja kampuni ya Safran kutokana na mda uliosalia kuikabidhi vifaa hivyo na usimamizi wa vifaa katika kutoa matokeo inavyohitajika. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
MKURUGENZI WA IEBC crawl тормознаясистема Volkswagen Golf ремонт коробки автомат доосан как приготовить аджику Chadoy телевизор смарт Ивлеева дудь новини сьогодні اوكرانيا تتقدم في خاركيف эрудиция Санкт Петербург тревор хендерсон бегемот в грузию своим ходом knee service пускач как отремонтировать велосипед строительство канадских каркасных домов